Posts

Showing posts from December, 2024

ANETH FABIANI KALINGA DJM/2024/0127

Image
  ULEMAVU SI UGONJWA Kuna wimbi kubwa la watu nchini wenye Imani potofu juu ya watu wenye ulemavu,wakiamini kuwa watu wenye ulemavu hawastahili kupewa haki sawa na watu wasio na ulemavu,ambapo Imani hiyo imekuwa si ya kweli,kwani watu wenye ulemavu wana haki sawa na watu wengine wa kawaida,pengine watu wenye ulemavu wanastahili kupewa kipaumbele zaidi katika nyenzo mbalimbali. Na leo hii kutana na kijana Francisco kimila mkazi wa nyamalango mwenye umri wa miaka 25 ni mwanafunzi wa chuo cha mtakatifu Agustine mwenye changamoto ya ulemavu wa mkono pamoja na mguu,ambapo anatueleza mambo mbalimbali katika safari yake ya maisha hadi sasa,licha ya changamoto zote anazozipitia lakini bado hajakata tamaa katika kupambania ndoto zake.       Picha ikionyesha kijana mwenye changamoto ya ulemavu francisco kimila joachim ambaye ni mwanafunzi wa chuo cha mtakatifu agustino     CHANGAMOTO ANAZOZIPITIA KIJANA FRANCISE Katika upande wa changamoto anazozipitia Francisco ni ...